Top Stories

Polisi DSM yakamata watu zaidi ya 100 kituo cha mabasi Ubungo

on

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum DSM Lazaro Mambosasa amekutana na wanahabari na kutoa taarifa ya kuhusu kukamatwa kwa watu 106 kwenye kituo cha mabasi Ubungo kwa kujihusisha na matukio mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo wizi.

Rais Magufuli kaitolea majibu changamoto iliyompigisha magoti Mbunge

Soma na hizi

Tupia Comments