PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

“Sekta hii inaonewa kwa muda mrefu” –Hussein Bashe

on

Mbunge wa Nzega Hussein Bashe alisimama Bungeni Dodoma leo May 16, 2018 na kuchangia mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo ambapo amelieleza Bunge kwamba Sekta ya Kilimo imekuwa ikione wa kwa muda mrufu na kuwaacha wakulima wakiteseka.

Hussein Bashe amesema…>>>“Jambo la kusikitisha sekta ya kilimo imeendelea kuonewa kwa muda mrefu na sio sashihi, sisi Wabunge tuna wajibu wa kumlinda mkulima

Agizo lingine la Serikali baada ya kukamatwa Lori lenye mizoga

Soma na hizi

Tupia Comments