Habari za Mastaa

GOODNEWS: Cardi B & Offset wapata mtoto

on

The female Hip Hop rapper kutokea Marekani Cardi B pamoja na mume wake Offset  wamebahatika kumkaribibisha mtoto wao wa kike duniani siku ya July 10,2018 ambaye tayari ameshapatiwa jina la Kulture Kiari Caphus ikiwa ni siku chache zimepita tokea wafanye baby shower ya kumkaribisha mtoto huyo.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Cardi B ameandika caption ambayo ni jina la mtoto wake wa kwanza pamoja na tarehe aliyozaliwa mtoto huyo “Kulture Kiari Cephus 07/10/18🎀”

Waandaaji wametaja sababu za kumpa Florida Venance ushindi wa Miss Rukwa 2018

Soma na hizi

Tupia Comments