MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Waandaaji wametaja sababu za kumpa Florida Venance ushindi wa Miss Rukwa 2018

on

Maneno yamekuwa mengi kuhusiana na Miss Rukwa 2018 Florida Venance ambapo kupitia mitandao ya kijamii kila mtu amekuwa akisema la kwake kuhusiana na Miss huyo na wengi kudai kuwa haendani na umri wake wa miaka 23.

Huyu hapa mtayarishaji na muandaji wa Miss Rukwa kwenye Exclusive interview na Ayo Tv amezungumza kuhusiana na vigezo walivyoviangalia hadi kumpata Miss Rukwa 2018.

Mbwa HATARI zaidi Duniani hakuachi mpaka ufe, anakamata watu 6 kwa mpigo

 

Soma na hizi