PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

PICHA: Utaipenda hii ya Gigy Money na mwanae Myra

on

Hii ni nyingine ya kuifurahia kutoka kwa staa wa Bongo Fleva Gigy Money ambaye amepost picha akiwa na mwanae Myra kwa mara ya kwanza katika ukurasa wake wa instagram ikiwa ni miezi miwili imepita tokea abahatike kumpata mtoto huyo.

Pia Gigy Money alipost video ya mwanae kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika ujumbe mzuri kwa mwanae ambapo aliandika “Mwanangu mzuri, Asante Mungu”

Tazama picha nyingine Gigy Money akiwa na mwanae Myra.

Dogo Janja “Simjui Mwijaku, mke wangu ni staa hakuwa utupu, Kim Kardashian je ?’

Soma na hizi

Tupia Comments