Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Gazeti la The Guardian la Uingereza limetaja nyimbo 10 kali za Afrika 2016, Bongofleva imetajwa pia

on

Bado siku 9 tumalize mwaka 2016 na kuingia mwaka 2017 lakini tumeona baadhi ya Tv stations na Radio stations zikifanya TOP 10 zake za nyimbo 10 bora kwa mwaka 2016, moja kati ya stori ambazo zime-trend leo ni baada ya gazeti la The Guardian la Uingereza kutaja nyimbo 10 kali za Afrika 2016.

screen-shot-2016-12-22-at-2-35-35-pm

List ya nyimbo kadhaa zimetajwa ikiwemo Pana ya Tekno na kwa upande wa Tanzania na Afrika Mashariki wimbo wa Salome wa Diamond Platnumz ft Rayvanny umetajwa katika list hiyo na wimbo wa Sauti Sol na Alikiba Unconditionally Bae umetajwa pia .

Tekno – Pana

Diamond Platnumz feat Rayvanny – Salome

Mr Eazi feat Joey B na Dammy Krane – Hollup

Patoranking feat Sarkodie – No Kissing Baby

Babe Wodumo feat Mampintsha – Wololo

Eugy x Mr Eazi – Dance for Me

Kwesta feat Cassper Nyovest – Ngudu

Yemi AladeKoffi Anan

DJ Maphorisa feat Wizkid, DJ Buckz – Soweto Baby

Sauti Sol na Alikiba – Unconditionally Bae

VIDEO: Mastaa wengine ambao Diamond Platnumz amezungumza kufanya nao kazi ni hawa, Bonyeza play hapa chini kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement