Habari za Mastaa

VideoMPYA: Fid Q ametuletea video ya wimbo wa Fresh Remix aliomshirikisha Diamond, Rayvanny

on

Baada ya kuachia Audio na kukaaa Kimya kwa muda Bila kuachia video Mkali wa Hip Hop Fid Q ametuletea video mpya ya Fresh Remix aliyo washirikisha wakali wa WCB, Diamond Platnumz na Rayvanny ni video ya kuitazama mtu wangu kipindi hiki cha Sikukuu..

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video..

Flaviana Matata kazungumzia Bidhaa zake, zinauzika mpaka Marekani?

Herieth Paul kataja nyimbo tano za wabongo anazosikiliza akiwa Marekani

Soma na hizi

Tupia Comments