Tangaza Hapa Ad

Mix

Sekretarieti ya ajira imezungumza kuhusu taarifa za nafasi za kazi 1101 zilizosambaa

on

Baada ya kuwepo kwa taarifa za nafasi za kazi zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zinazodaiwa kutolewa na Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma. 

Leo October 01 2016 Katibu wa sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma, Xavier Daudi amekutana na waandishi wa habari na kukanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma imetangaza nafasi za kazi 1101, Xavier Daudi amesema……….

‘Juzi September 29 na 28 2016 tuliona taarifa sisi tunaamini ni za uongo kuwa tumetangaza nafasi za kaza 1000, hali ile imezua taharuki na imeleta usumbufu kwa wadau wa sekta ya ajira na wananchi kwa ujumla na serikali, pengine mtu yule alichukua matangazo yetu ya nyumba, tulipoangalia kumbukukumbu tangazo lile sisi tulilitoa July 9 2015’

ULIKOSA HII YA TCRA, DART KUTAJWA KUVUNJA SHERIA YA MANUNUZI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement