Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Saida Karoli alivyopanda kwenye stage na Nguo za Magunia Sauti za busara

on

Msanii mkongwe wa nyimbo za asili nchini Saida Karoli alifanya show visiwani Zanzibar kwenye tamasha la Sauti za Busara ambapo alipanda jukwaani na mavazi ya magunia ambayo aliyatengeneza yeye mwenyewe kwa mkono wake na kisha kutoa burudani katika Sauti za Busara.

Tazama ilivyokuwa kwa kubonyeza PLAY hapa chini..

Msanii wa Uganda ‘Nilimlipa Saida Pesa akakataa, nilimpigia magoti kwa heshima’

Soma na hizi

Tupia Comments