Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Kamanda Kinondoni amezungumza kuhusu Majeruhi wa Risasi waliopo OYSTERBAY Polisi (Audio)

on

Leo Jumamosi February 24, 2018 kumekuwa na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha polisi Oysterbay, ambapo inasemekana wana majeraha ya risasi na mpaka sasa hawajapelekwa hospitali.

Ayo TV na millardayo.com imefanya mawasiliano na Kamanda wa Polisi Kinondoni RPC Murilo Jumanne Muliro kuthibitisha suala hilo ambapo amesema ni kweli wanawashikilia watu hao lakini mtu yeyote akiwa mahabusu na kuhitaji matibabu, hupatiwa matibabu hayo kwa wakati.

BREAKING: CHADEMA WAZUNGUMZIA MAUAJI YA DIWANI WA KATA YA NAMALA

 

Soma na hizi

Tupia Comments