Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mtazamo wa Thomas Ulimwengu kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi ya Tanzania

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF linaruhusu klabu moja ya Ligi Kuu Tanzania bara isajili wachezaji wa kigeni 7, hiyo inatokana na malengo yao ya kutaka kutoa kipaumbele kwa wachezaji wazawa na kukuza soka letu, Ayo TV imefanikiwa kumnasa mtanzania anayeichezea TP Mazembe ya Congo Thomas Ulimwengu aeleze mtazamo wake.

“Hilo pia ni suala la muhimu sana kuongeza wachezaji wa kigeni katika Ligi yetu maana wataleta ushindani hivyo waruhusu tu wongezeke lakini na wachezaji wa kitanzania nao twende katika nchi zao kucheza soka, kwa Congo hapa hakuna idadi maalum ya wachezaji wa kigeni maana TP Mazembe kuna wachezaji wa kigeni zaidi hata ya 30”

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement