PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

“Mawaziri mpunguze mihemko, Mnawaumiza wananachi” –Mbunge Musukuma

on

February 6, 2018 Wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo yao katika  taarifa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2017 ambapo miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama ni Mbunge wa Geita Joseph Musukuma ambaye alilalamikia baadhi ya sheria zinazotumika kuwaumiza wananchi.

Mbunge Malecela kuhusu wanaosema Serikali ya Magufuli haijafanya lolote

Soma na hizi

Tupia Comments