Habari za Mastaa

Aika wa Navy Kenzo gumzo mtandaoni, hii namba 3 2018

on

Watu wengi huamini kuwa ukiwa msanii unalazimika kuwa na style tofauti tofauti  ili kuleta upekee katika muonekano wako wa nywele, mavazi na hata kuongea wakati mwingine ili kutengeneza upekee wako.

Staa wa muziki kutoka Kundi la Navy Kenzo anayejulikana kwa jina la Aika amezichukua headlines leo baada ya kuamua kupost picha katika instagram account yake akiwa na style flani hivi ya nywele ambayo ni ngeni katika macho ya watu.

Style ya nywele ya Aika baada ya kupost picha tu instagram, imepata comment nyingi sana na ukilinganisha na post zake zilizopita wengi wakiuliza hazimuelei uzito kichwani.

Post hiyo ya Aika akiwa na style ya nywele ya kipekee ndio post yake ya kwanza kwa mwaka 2018 kupata comment nyingi ndani ya muda mfupi na ya tatu kwa ujumla katika post zake za mwaka 2018 zilizopata comment nyingi baada ya post Janury 17 aliyompost mtoto wake Gold ikiwa na comment 520 na leo ina comment 247.

EXCLUSIVE: Nisha kafunguka ni kuhusu post yake ya vi-Ben 10

 

Soma na hizi

Tupia Comments