HekaHeka

HEKAHEKA: Mwanaume amnyonga mkewe na kisha ajinyonga mwenyewe

on

Hekaheka ya leo imetokea Msigani Dar ss Salaam ambapo limeripotiwa tukio la kujinyonga kwenye nyumba ya jirani na nyumbani kwake na mara tu baada ya majirani kumuona na kumtambua kisha kujaribu kwenda kwake ili kumpa mkewe taarifa pia walikuta mkewe amefariki.

Baada ya majirani kutoa taarifa na polisi kufka eneo la tukio ikasemekana kuwa mwanaume huyo alimuua mkewe na kumfungia ndani, kisha na yeye kwenye kujinyonga na hadi sasa sababu za mume huyu kufanya hivyo haijajulikana.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY…

HEKAHEKA: Mchungaji auliwa na mgonjwa mwenye mapepo wakati akimuombea

Soma na hizi

Tupia Comments