Tangaza Hapa Ad

Mix

AUDIO: Idadi ya Bakteria unaowazalisha ndani ya masaa 24 kwa kutopiga mswaki..

on

Ripoti nyingi za utafiti zimeleta matokeo ambayo kwa wakati mwingine yanaweza kukushangaza au kukuchekesha, nyingine ni hii ya Vijidudu ambavyo utavifuga pale usipopiga Mswaki vizuri. Nimempata Daktari ambaye ameeleza madhara ya kutopiga mswaki kwa zaidi ya saa 24.

“Ukisoma takwimu za oral ecology na registerd dental hygiene utaona kabisa mdomo ni sehemu yenye bakteria wengi sana kwahiyo hata hao bilioni moja ni wachache sana kwasababu kwa mtu ambaye hasafishi kinywa chake vizuri anaweza kuwa na bakteria zaidi ya bilioni 20” – Daktari wa Meno

Bonyeza play hapa kupata maelezo yote ya Daktari wa Meno.

VIDEO: Sasa hivi ukienda Muhimbili utakutana na Madaktari wenye uwezo kufanya upasuaji ambao ilikuwa lazima uende nje ya nchi, Tanzania unafanyika. Tazama hapa.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement