Airtel TZ Ad
Ads Separator
Startimes Ad
Ads Separator
Regus TZ - Ad
Ads Separator

General News

Baadhi ya picha za Uwanja mpya wa ndege Mbeya, jinsi ndege ya @Fastjet ilivyopokewa baada ya kutua kwa mara ya kwanza

on

11
fastjet MbeyaSerikali ya Tanzania iko kwenye mpango wa kutengeneza viwanja vya ndege kwenye mikoa yake mbalimbali Mbeya ukiwemo ambapo mtu wako wa nguvu kwa mara ya kwanza, nimeuona uwanja mpya wa ndege 87.8 Mbeya baada ya ndege ya @Fastjet kutua kwa mara ya kwanza siku waliyozindua safari zao kutoka Dar kwenda Mbeya kwa nauli ya kuanzia elfu 32 bila kodi.

21

7

9Fastjet wanakwambia toka walipozindua safari zao November 2012, wamefanikiwa kuanzisha safari nne ndani ya Tanzania na moja ya kimataifa ambayo ni Dar-Johannesburg ambapo sasa wanaunganisha vituo sita ndani ya Afrika.

10Kingine nilichoona ni kwamba eneo lao kubwa wamelisakafia kama inavyoonekana.

11Vikosi vya zimamoto vikionyesha kazi baada tu ya ndege ya @Fastjet kutua kwa mara ya kwanza toka kutangazwa kuanza kwa safari zake.

12

13

14

15

16

17

18

19

20

6Ukitazama nyuma ya uzio utagundua ni parking ya magari yanayoingia kwenye uwanja huu, ni parking ambayo imesifiwa na wengi kwa ukubwa, ubora na inavutia.

DSC02110Hii ndio sehemu wanayopita wasafiri kabla ya kwenda kwenye ndege.

DSC02111

DSC02114

22Lucy Mbogoro kutoka @Fastjet akiongea wakati wa party ndogo iliyofanyika toka kuanza kwa safari za Fastjet kwenda Mbeya.

23

Vote Diamond& Vanessa