Tangaza Hapa Ad

AyoTV

AUDIO: Kampuni ya Moshi iliyotangaza punguzo la bei kwa ataejinunulia Jeneza yatoa ufafanuzi

on

Moja ya habari ambayo imeibua mijadala kwenye mitandao ni kuhusu hatua iliyotangazwa na kampuni moja ya Moshi Kilimanjaro kwamba inatoa punguzo la 30 % kwa yeyote atakaejinunulia Jeneza lake ambapo millardayo.com na AyoTV zimempata Mkurugenzi wa kampuni hiyo Macmillian Msiraki kutolea ufafanuzi……. bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement