Tangaza Hapa Ad

Miji/Nchi

Karibu Mwanza, ukiwa town kuna hizi Barbershop 5 za kisasa zipo tayari kukuhudumia

on

Leo ni weekend na nafahamu watu wangu wengi kwenye siku kama hizi wanazitumia kwenda kujiweka sawa kichwani kwa kunyoa nywele zao kwenye Barbershop za kisasa na mambo yamebadilika sio kama miaka iliyopita.

Time hii ukienda barbershop usitegemee utanyoa nywele tu bali utafanyiwa vitu mbalimbali kulingana na mahitaji yako…. kuna scrub, massage, pedicure, manicure, pamoja na nail polish na sasa millardayo.com inakukutanisha na Barbershop 5 za kisasa Mwanza.

01. Hasfu Barbershop ipo eneo la Kirumba.

02. Collenium Barbershop hii ipo eneo la Nyamanoro.

03. G Standard Barbershop hii ipo eneo la Kona ya Bwiru.

04. Alelioz Barbershop ipo mtaa wa Mviringo Uturn.

05. Babilas Barbershop eneo la salima cone.

ULIPITWA? Fiesta 2016 Mwanza ilinoga sana na RAY VANNY alikua miongoni mwa walioinogesha, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement