Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Startimes Ad
Home » General News » Picha 13 za wale 13 waliokamatwa wakifanya mazoezi ya kivita Msituni Mtwara, hii ni Mahakamani leo

January Makamba - Tanzania Mpya

Picha 13 za wale 13 waliokamatwa wakifanya mazoezi ya kivita Msituni Mtwara, hii ni Mahakamani leo

5Kwa mujibu wa jeshi la Polisi Mtwara, mwanzoni walikamatwa 11 baada ya jeshi la polisi kupata taarifa kwamba kulikua na watu waliokua wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za vikundi vya kigaidi vya Al Qaeda na Al Shabaab ambapo walikamatwa na hizo CD kuonekana pia pamoja na silaha mbalimbali lakini baadae walikamatwa wengine wawili na kufanya idadi kuwa 13.

Taarifa ya jeshi la Polisi leo inasema leo walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena Mahakamani tarehe 4 November 2013.

4

2

6

7

11

13

10

12

3

8

9

1

Tags :
Previous post link
Next post link
Scroll To Top