Tangaza Hapa Ad

Mix

Afande Sele kuhusu ishu ya dawa za kulevya iliyotangazwa na Paul Makonda

on

Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa siku nyingi Tanzania ambao wamekua wakifatilia pia na ishu za siasa na mengine yanayoendelea ambapo leo hii ametumia time yake kuandika kwenye Facebook kuhusu ishu ya  dawa za kulevya iliyotangazwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda.

Afande ameandika ‘Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio ‘Matango Pori’kama tulivyoona ktk masakata mengine,huenda hata wale WASAFI wakaonekana wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da Amina…wacha parry ianzeee…..’

VIDEO: Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kutuhumia na kuuza dawa za kulevya

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement