Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Sheria inasemaje endapo ukikamatwa na Polisi kwa kosa lisilo lako (+video)

on

Leo June 14,2018 tunayo story kutokea wakili Leornad Manyama ambapo anazungumzia mamlaka ya Jeshi la Polisi katika kukamata watu wengine pindi wahalifu wanapokimbia.

Inafahamika kwamba kumekuwa na sintofahamu juu ya Polisi kumkamata Mtu mwingine kama aliyetenda kosa akiwa hayupo ama amekimbia.

BREAKING: Polisi yatoa onyo magari JWTZ, Polisi na ambulance yanayovunja sheria

Soma na hizi

Tupia Comments