Habari za Mastaa

Kylie Jenner atajwa kuwa Bilionea kwenye Forbes alinganishwa na Zuckerberg

on

Mmoja ya mwanafamilia maarufu nchini Marekani ya Jenner’s/Kardashian’s  ambaye ni Kylie Jenner ametajwa katika jarida la Forbes 2018 kama kijana mdogo mwenye ushawishi mkubwa katika biashara kati ya wanawake 60 matajiri waliotajwa katika jarida hilo.

Kylie Jenner amelinganishwa na mwanzilishi na mkurungezi mtendaji wa Facebook Mark Zuckerberg ambaye alipata umaarufu na utajiri mkubwa akiwa na umri wa miaka 23 lakini Kylie amepata utajiri huo na kutambulika katika jarida la Forbes akiwa na umri wa miaka 20.

katika jarida hilo la Forbes (America’sWomen Billionaires) limetaja list ya wanawake 60 ambao wamejipingania wenyewe kupata utajiri walionao nchini Marekani, Kylie akiwa miongoni  kutokana na vipodozi vyake anavyomiliki  Kylie Lipkits Cosmetics.

Waandaaji wametaja sababu za kumpa Florida Venance ushindi wa Miss Rukwa 2018

Soma na hizi

Tupia Comments