Tangaza Hapa Ad

Top Stories

AUDIO: Majibu ya ACT-Wazalendo kwa Moses Machali baada ya kutangaza kuhamia CCM

on

Baada ya Chama cha Mapinduzi kuthibitisha kupokea taarifa kutoka kwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Kasulu Mjini kupitia NCCR-Mageuzi na baadaye kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo, Moses Machali kuunga mkono utendaji wa Rais Magufuli na kutangaza nia ya kujiunga na CCM, millardayo.com imempata msemaji wa ACT Wazalendo Abdallah Hamis ambaye ametoa majibu ya chama hicho.

“Tumesoma maandiko ya Machali kama wengine walivyosoma na tumejitahidi kumpigia simu ili tupate uhakika wa taarifa hizo lakini amekuwa mzito kupokea Simu zetu lakini kikubwa kama ameamua kuondoka sisi tunahesimu uamuzi wake” – Afisa Habari ACT Wazalendo

VIDEO: ACT Wazalendo wamejibu kuhusu maamuzi ya Moses Machali kuhamia CCM. Bonyeza Play kusikiliza

VIDEO: Walichokijibu CCM kuhusu Mbunge wa zamani Kasulu (NCCR-Mageuzi) na mwanachama wa ACT Wazalendo Moses Machali kutangaza kujiunga nao

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement