Tangaza Hapa Ad

Top Stories

VIDEO: Alichokisema DC Godwin Gondwe juu ya kuwaweka mahabusu wanahabari

on

Kwa sasa Godwin Gondwe ni Mkuu wa wilaya ya Handeni Tanga lakini pamoja na hayo, ni Mwandishi/Mtangazaji mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 kwenye kazi hiyo ambapo hivi karibuni aliandikwa kuhusu kuwaweka Mahabusu Waandishi wa habari huko Tanga, AyoTV imempata kwenye Exclusive Interview.

Gondwe ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za kuwaweka mahabusu waandishi wa habari waliokwenda kufata habari. Kwa mujibu wa Gondwe amesema sio kweli kama inavyosemwa kwamba alifanya kitendo hicho isipokuwa tu walizuiwa na askari kufanya kazi eneo walilokwenda kwasababu za kiusalama.

“Unajua Oparesheni zina miiko yake, askari wanajua cha kufanya kwa kujilinda wao wenyewe, kuwalinda wananchi walioko kwenye tukio na kuwalinda wanahabari wanaofatilia stori. Hata ukiwa vitani kuna jinsi unavyotakiwa kukaa na utaelekezwa na askari, nilichofanya ni kuwaagiza askari usalama wa mali na watu uzingatiwe” – Gondwe

VIDEO: Kauli ya RC Paul Makonda kuhusu kujenda vituo 20 vya Polisi jijini Dar es salaam iko hapa. Tazama kwa kubonyeza Play.

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement