Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Alichojibu Peter Okoye kwa shabiki alietaka wamalize ugomvi na Kaka yake

on

Staa Peter Okoye kutokea Nigeria ameonekana kumjibu shabiki ambaye alimvamia kuhusiana na kile ambacho alikipost kwenye ukurasa wake wa instagram ambapo shabiki huyo alimtaka Peter aachane na mitandao, akarekebishe ugomvi wake na kaka yake Paul.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Peter Okoye alipost video akiwa amevaa viatu vya LV na kuandika caption inayosema “Naonekanaje?” baadaye shabiki aka’comment na kusema “Mr Peter Okoye haukui kutokana na hivi unavyofanya , Louis Vuitton ni shillingi ngapi mpaka uonyeshe hivyo, badala ukatengeneze amani na kaka yako upo hapa unatuonyesha vitu vya brand”

Peter Okoye hakutaka hilo lipite akaamua kumjibu shabiki huyo kwa kusema “Waite polisi”

 

How do I look? #MinisterOfEnjoyment

A post shared by Mr P (@peterpsquare) on

Nini kafunguka “Nimemuacha Nay ila nitakaa kwake kwa mwaka mmoja”

Soma na hizi

Tupia Comments