Premier Bet

Top Stories

Agizo la Waziri wa Madini ndani ya siku saba “Wapelekwe Mahakamani”

on

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameiagiza Tume ya Madini  kuziandikia hati za makosa leseni za madini 18, 341 zinazodaiwa ili zilipe madeni hayo ndani ya siku 30 na wakishindwa kulipa madeni hayo ndani ya muda huo leseni hizo zifutwe ndani ya siku saba baada ya mwisho wa hati za makosa. Biteko ametoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwakwe Dodoma.

RC MWANRI ANADUNDA NAO “AFIKE SALAMA, MKONG’OTO HATUJUMLISHI WALA KUTOA”

Soma na hizi

Tupia Comments