Tangaza Hapa Ad

VideoMPYA: Mabibi na mabwana.. tumealikwa kuitazama mpya ya Rich Mavoko ft. Diamond


WCB wanayofuraha kutualika kuitazama video mpya ya kijana wao Rich Mavoko ambayo kamshirikisha Boss wake Diamond Platnumz, ukishamaliza kuitazama video hii ni ruhusa kuacha na comment yako umeionaje na wimbo wenyewe ili wakipita baadae wajue watu wao wameipokeaje.

VIDEO: Diamond huwa anashika simu ya mpenzi wake? bonyeza play kwenye hii video hapa chini kusikia alichosema

VIDEO: Tazama alichosema Wema Sepetu kuhusu Diamond kumpost Instagram ikiwa hawako pamoja tena kwenye mapenzi

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement