PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Lulu kaibuka na mapya “Nimeamua kuuza nguo zangu nipate pesa”

on

Tukielekea kuuanza mwezi wa pili ambapo wengi wanatazama siku ya wapendanao (valentines day) ambayo ni tarehe 14 February ,sasa muigizaji Elizabeth Michael amekuja na kitu kwaajili ya siku hiyo na kuipa jina la “Save My Valentine”.

Leo January 23,2019 kupitia ukurasa wa instagram wa Elizabeth Michael  ametoa ufafanuzi kuhusiana na siku ya wapendanao baada ya siku kadhaa kupita kuwahi kutangza kugawa nguo zake pamoja na viatu lakini kupitia siku hiyo ya February 14 amekuja na kitu cha tofauti.

Elizabeth Michael >>> “Wakati Wengine Tumepata Fursa Ya Kuwa Na Furaha Kwa Vile Tulivyonavyo Kuna Baadhi Ya Wenzetu Wamekosa Nafasi Hiyo….. Na HUU NI MPANGO WA MUNGU🙏Kuelekea Siku Ya Wapendanao Februari 14,Nimeamua Kuuza Sehemu Ya Nguo Zangu Ambazo Yawezekana Umeshawahi Kuziona au Haujaziona”

“Na Pesa Yote Itakayopatikana Kupitia Mauzo Haya Itaenda Kusaidia Vitu/Watu Wenye Uhitaji Katika Jamii.Please Join me to Save My Valentine.#Savemyvalentine “

EXCLUSIVE: Dr Ipyana kaongelea M.40 zilizotumika kwenye Album yake ‘Hata hili litapita”

Soma na hizi

Tupia Comments