Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 6: Chris Brown alivyonaswa akiwasili Hotelini Mombasa Kenya

on

Tunajua msanii kutoka  Marekani Chris Brown ni mmoja ya wakali ambao wamepewa hati miliki ya stage ya tamasha la Mombasa Rocks Festival linalofanyika leo viwanja vya Golf Mombasa Kenya likiwa na wakali wengine kama Alikiba, Vanessa Mdee, Navio, Na wengineo.

Sasa mtu wangu nimefanikiwa kuzinasa hizi picha 6 za jinsi alivyowasili kwenye hoteli iitwayo English Point Marina iliyopo Mombasa nchini Kenya.

.

Hii Helikopta iliusindikiza msafara wa Chris Brown na ilikua na watu maalum kwa ajili ya kuhakikisha Chris yuko salama.

.

.

.

.

.

.

.

.

3x6a7567

ULIIKOSA HII YA JUKWAA ATAKALOTUMBUIZA CHRIS BROWN NA WAKINA ALIKIBA, VANESSA MDEE NA WENGINEO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement