Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

Umeisikia ya Mganga wa kienyeji kudaiwa kumbaka mtoto? Imetokea Bagamoyo

on

Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo August 9, 2017 imetokea Bagamoyo ambapo mganga mmoja wa kienyeji anadaiwa kumbaka mtoto wa kike ambaye ni mwanafunzi wa Darasa la Sita.

Inadaiwa mtoto huyo kila alipofanyiwa hivyo alimwambia mwalimu wake kuwa kuna mtu anaitwa Juma anamfanyia michezo ambayo imekuwa ikimuumiza hivyo walimu walimuita mzazi wake na kumueleza mchezo aliokuwa anafanyiwa mwanawe.

Baada ya kuelezwa hivyo mzazi huyo alimpeleka mtoto Hospital amabapo ilithibitika kuwa alikuwa anabakwa hivyo alitoa taarifa Polisi ambao walimkamata mganga huyo.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Fullstory..

HEKAHEKA: Hii imetokea baada ya Mwalimu kudaiwa kumbaka mwanafunzi wake

Soma na hizi

Tupia Comments