Habari za Mastaa

MKE WA ROMA KAFUNGUKA: Kasimulia majeraha ya Roma baada ya kutekwa

on

Mke wa Roma Mkatoliki ameingia kwenye headlines baada ya kuachia single mpya ya Roma iitwayo Zimbabwe lakini pia kafunguka kuhusu majeraha ya Roma baada ya kutekwa na alivyoishi kwa kutokuwa naye kwa siku kadhaa za kuwa kusikojulikana.

>>>”Kama umemfuatilia Roma aliamua kuachana na nyimbo za harakati kabisa akawa anaimba vitu vya tofauti. Huu wimbo ameimba kwa sasabu ya tukio lililomkuta kama hadithi yake ili mashabiki wake wapate picha halisi kama anasimulia. Hii ya sasa hivi hajaimba siasa zaidi ya kuongelea vitu vyake vilivyohusika katika tukio lake.” – Mke wa ROMA Mkatoliki.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full Video

VIDEO: Ilivyozinduliwa Filamu mpya ya Kibongo, Mlimani CityΒ 

Soma na hizi

Tupia Comments