Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

‘Matukio ya unyanyasaji wa Kijinsia yanazidi ya Ujambazi nchini’

on

Leo June 12, 2018 Naibu waziri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile amesema kwa sasa vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vimeongezeka kwa asilimia kubwa nakufikia Elfu 41 kwa mwaka nakusababisha matukio hayo kuongezeka nakuzidi matukio ya ujambazi nchini.

Pamoja na hayo amesikitishwa na mahudhurio ya kamati ya ulinzi na usalama ya wanawake na watoto nakusema kati ya watu 23 ni watu watatu tu ndio wamehudhuria nakusema inawezekana maandalizi hayakuwa mazuri au hakupata taarifa au mkoa wa Arusha unadharau nakuahidi kuchukua hatua.

Mwanzilishi wa REGITA na kisa cha Baba kumbaka Bintie akimtishia kumuua

Soma na hizi

Tupia Comments