AyoTV

VIDEO: JK Comedian alivyomuiga Rais Kikwete na Magufuli kwenye upande wa soka

on

Msanii JK Comedian amezidi kuonyesha ubora wake katika kuziigiza sauti za watu mashuhuri kwa style ya kuchekesha, JK Comedian amekuwa akialikwa sehemu mbalimbali kuburudisha watu kwa kuiga sauti za viongozi hususani Rais mstaafu Jakaya Kikwete, hii hapa alipomuiga Rais Magufuli na Kikwete kwa upande wa soka.

JK Comedian alivyokutana na Waziri mkuu Majaliwa, Mwakyembe na Profesa Tibaijuka

Soma na hizi

Tupia Comments