Tangaza Hapa Ad

Haya ndio mabadiliko atakayofanya Mark Zuckerberg katika mtandao Facebook


Kampuni ya mtandao wa Facebook imetangaza kufanya mabadiliko makubwa katika ukurasa wake wa ‘habari mpya’ ambapo kipaumbele kitakuwa zaidi kwa taarifa za kifamilia na marafiki.

Akizungumzia mabadiliko hayo Mkurugenzi wa Facebook Mark Zuckerberg ameeleza kuwa lengo la mabadiliko hayo ni kupunguza kuonekana kwa habari nyingi za biashara, za kampuni na taasisi na kutoa nafasi zaidi kwa watu wafahamiane zaidi.

“Tumepata mrejesho kutoka kwa watumiaji wa mtandao huu kwamba matangazo mengi ya biashara, makampuni na taasisi yanazonga muda wa watumiaji kuwasiliana na kufahamiana zaidi.” – Mark Zuckerberg

“Diamond anamiliki nyumba 29 hii ndiyo nyumba ya gharama sana”

Maneno ya Zari baada ya kuuona mjengo mpya wa Diamond Platnumz

 
 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement