Habari za Mastaa

Mr Eazi apata “Deal nono” Columbia records Uingereza

on

Staa maarufu wa muziki kutokea Nigeria Mr Eazi amebahatika kupata deal nono katika records za Columbia nchini Uingereza ambapo wimbo wake wa “Pour me water” utapata nafasi ya kuuzwa na kupewa promo nchini humo.

Kupitia instagram account ya Mr Eazi alipost picha na kuandika caption inayotoa shukrani kwa hatua kubwa aliyoifikia kutokana na kusign deal kubwa nchini Uingereza.

>>>“Hatua nyingine, asante Mungu kwa kufanya kila kitu kuendelea vizuri #bankumusic #lagostolondon”

Mr Eazi amepata umaarufu kupitia nyimbo zake nyingi ikiwemo “Holl Up” na pia alishawahi kufanya collabo na msanii Ben Pol kwenye wimbo wa “Phone”.

WALICHOZUNGUMZA MASTAA BAADA YA KUIONA TRAILER YA MOVIE YA SEMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments