PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Steve Nyerere atoa maamuzi ya mwisho kuhusu msiba

on

Kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusiana na msiba wa mtoto Patrick ikiwa familia mbili zimeshapanga kuhusiana na msiba huo ikiwemo familia ya Mbezi ambapo ndipo kwa mama mzazi wa Patrick na Mwananyamala kwa anayesemekana ni baba mzazi wa Patrick.

Hivyo mtafaruku huu umefanya wengi kuwa kwenye dilemma ikiwa mwili wa marehemu umeshawasili tayari ila kupitia mtandao wa instagram wa Steve Nyerere ameamua kutoa ufanunuzi kuhusiana na ratiba ya msiba huo na kusema kila kitu kipo kama kilivyopangwa hapo awali.

Steve Nyerere aliandika “Wacha wajinga waongee vitu wasivyo vijua. nasisitiza ratiba ipo vile vile kama tulivosema jana. Mungu mkubwa MUNA kafika salama na mwili ndio umeingia jioni hii salama, Asante kwa wote wanaotukana bila kujua kinacho endelea .Asante kwa wote waliopoteza muda wao mpaka jioni hii kuhakikisha mambo yanaenda sawa ,asante”

Bamdogo wa Patrick afunguka yote “Mwili ulipo, Muna kufanyiwa maombi”

Soma na hizi

Tupia Comments