Habari za Mastaa

Wizkid katika kashfa ya kutelekeza mtoto wake

on

Staa wa muziki kutokea Nigeria Wizkid “Starboy” amechukua headlines kupitia mitandao ya kijamii baada ya mwanamke aliyezaa nae mtoto wake wa pili Binta Diamond Diallo kutoa malalamiko kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa staa huyo hatoi matunzo kwa mtoto wake.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Binta ambaye ni mwanamke aliyezaa na Wizkid ameandika “Sijali ulipo, sijali upo na nani, kama una watoto hakikisha unawajali na unapata muda wa kuwa nao #usitoevisingizo”

Wizkid kwa sasa ana watoto watatu wakiume ambao amezaa na wanawake watatu tofauti akiwemo manager wake Jada Pollock.

Shilole ameingiza tani Moja ya Pilipili zake Sokoni, kafunguka Hapa

Soma na hizi

Tupia Comments