Top Stories

HEKAHEKA: Mchungaji auliwa na mgonjwa mwenye mapepo wakati akimuombea

on

Hekaheka ya leo Nov 28, 2017 imetokea Morogoro ambapo kuna Mchungaji alikuwa anamfanyia maombi Muumini mwenye Mapepo lakini la kustaajabisha ni nguvu ya mapepo yale ikatumika kumpiga Mchungaji huyo na kumuua.

Inasemekana wakati tukio hilo linatokea hakukuwa na watu wengi kanisani zaidi ya huyo Mgonjwa wa kiume na mke wake ambapo ilitokea ghafla wakati maombi yakiendelea Mwanaume huyo mgonjwa akainuka na kumshambulia Mchungaji…. Bonyeza play hapa chini kupata taarifa kamili

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza mkasa mzima..

HEKAHEKA: Maamuzi ya familia baada ya kujua mtoto wao kauwawa na kuzikwa

Soma na hizi

Tupia Comments