Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Nchi yetu inaviashiria vya ugaidi” –Joseph Selasini

on

May 14, 2018 Wabunge walikuwa akijadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 iliyowasilishwa Bungeni ambapo miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Rombo Joseph Selasini ambaye amesema Tanzania kuna viashiria vya matukio ya ugaidi yanayoitia taifa aibu.

Inaonesha katika nchi yetu kuna viashiria vya ugaidi, ninaangalia matukio ya Kibiti, watu kupotezwa na watu wasiojulikana, watu kupigwa risasi hii ni dalili kwamba kuna udhaifu mkubwa sana wa kitengo cha upelelezi katika Jeshi la Polisi. Ukiangalia mitandao hata leo hii watu wanasema kwamba kuna maeneo katika nchi yetu yanalindwa na majeshi kutoka Ruanda” –Joseph Selasini

Shangwe walilopigiwa Simba baada ya kuingia Bungeni leo

Soma na hizi

Tupia Comments