Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Dalali mwingine azungumza asema Diamond kapangisha hajanunua mjengo

on

Baada ya Dalali wa kwanza kusema Diamond Platnumz amenunua mjengo mpya aliopost tena kwa Tsh. Bilioni Moja, Dalali mwingine ameibuka na kuzungumza ukweli na kusema Diamond hajanunua bali amepangisha kwani yeye ndo mtu wa kwanza kuutangaza mjengo ule kwa ajili ya kupangisha.

Dalali huyo ambaye jina lake maarufu anaitwa Dalali Kiongozi amesema kuwa nyumba hiyo ilikuwa inapangishwa na hata Dalali Skoba wakati anamleta Diamond tayari alikuwa kashaulizwa yeye kwani yeye ndiye alikuwa anaujua huo mjengo na kuongezea kuwa mjengo huo awali ulikuwa unapangishwa kwa millioni 3 kwa mwaka..

Bonyeza PLAY kumsikia akielezea kila kitu..

EXCLUSIVE: Dalali aliyemuuzia nyumba Diamond kafunguka gharama za mjengo huo mpya

“Diamond anamiliki nyumba 29 hii ndiyo nyumba ya gharama sana”

Soma na hizi

Tupia Comments