Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Shetta kaachia ya maisha yake…. aliwahi mpaka kuosha gari la staa wa BongoFleva

on

Kuna kampeni mpya mjini inaitwa ‘Usikate Tamaa‘ iliyoandaliwa na (MeTL Group) ambapo msanii wa bongofleva Shetta alikua kwenye desk la mbele na wakati ikitambulishwa hiyo kampeni kwa Watanzania Shetta akaeleza jinsi ambavyo hakukata tamaa.

Anasema ‘Niliwahi kukutana na kitu ambacho sitosahau katika maisha yangu nilishawahi kuishI na msanii mkubwa sana kipindi kile akiwa na connection, nilishawahi kuosha vyombo, nilishawahi kumuogesha mdogo wake, hayo yote nilikuwa nafanya ili nifanikishe ndoto yangu ya kuwa msanii’

Kuipata stori kamili unaweza kubonyeza play hapa chini kwenye hii video…

ULIIKOSA HII YA SHILOLE ALIVYOWAPELEKA WASANII WENZAE NYUMBANI KWAO IGUNGA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement