Habari za Mastaa

LIVE: Kinachoendelea Usiku huu nyumbani kwa marehemu mzee Majuto Tanga

on

Tazama Live Kutoka Tanga mjini nyumbani kwa mzee Majuto ambapo wakazi wa Tanga na Mashabiki wamejitokeza wakisubiri kuupokea mwili wa marehemu mzee Majuto. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: HII NDIO NYUMBA YA MZEE MAJUTO ILIYOPO TANGA MJINI 

Soma na hizi

Tupia Comments