Habari za Mastaa

AY kasimulia alivyoona mke wake akijifungua, kajibu kwanini hapendi kumpost..?

on

Msanii Mkongwe AY amesimulia ilivyoshuhudia mke wake wakati anajifungua na kusema kuwa anatamani sana kuona hicho kitu kinafanyika hata hapa Tanzania, AY ambaye alikuwa akijibu maswali wakati wa mahojiano na AyoTV na millardayo.com kuhusu kutopost picha ya mke wake wala mtoto wake kwenye mitandao.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama AY akielezea.

EXCLUSIVE: Mfahamu Piere aliye-trend mitandaoni akisema “Mama nakufa”

Soma na hizi

Tupia Comments