Habari za Mastaa

KUTOKA TANGA: Mwili wa marehemu mzee Majuto kuzikwa hapa

on

Kutoka Kiruku, Chumbageni Tanga nyumbani kwa marehemu mzee Majuto millardayo.com na Ayo TV zinakusogezea kutazama eneo ambalo marehemu mzee Majuto alitaka kuzikwa pindi umauti utakapomkuta sasa huyu hapa Hamza Kasongo ambaye ni mjomba wa marehemu mzee Majuto anatuelezea jinsi alivyoachiwa maagizo na mzee Majuto kabla ya umauti wake.

VIDEO:HII NDIO NYUMBA YA MZEE MAJUTO ILIYOPO TANGA MJINI 

VIDEO:MSIKITI ALIOJENGA MZEE MAJUTO NA NYUMBA ANAZOMILIKI 

Soma na hizi

Tupia Comments