Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

BREAKING: Sir Alex Ferguson amekimbizwa hospitali

on

Mtandao wa habari za michezo wa 90min.com umeripoti taarifa za kuumwa ghafla kwa kocha wa zamani wa Man United Sir Alex Ferguson akiwa nyumbani kwake Cheshire.

Sir Alex Ferguson ambaye alianza kuumwa Ijumaa ya May 4 2018 alikimbizwa hospitali asubuhi ya May 5 huku gari yake ikisindikizwa na gari ya polisi kufuatia kuumwa ghafla na kupelekwa hospitali ya Salford Royal.

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Sir Alex Ferguson ameisaidia Man United kutwaa mataji 13 ya EPL na mawili ya UEFA Champions League na mataji mengine mbalimbali kam FA na Ngao ya Hisani.

Soma na hizi

Tupia Comments