Biko


Tangaza Hapa Ad

Mix

ACT Wazalendo wafunguka kuhusu kauli za JPM alizozitoa jana

on

Jana October 3 2017 President Magufuli alitoa hutuba yake kwenye ufunguzi wa mkutano wa 33 wa Jumuiya ya tawala za mitaa ‘ALAT’.
Baadhi ya kauli alizozitoa ni pamoja na ishu ya kutoongeza mishahara ya wafanyakazi wa umma.

Sasa leo October 4 2017  katibu wa itikadi uenezi na mawasiliano kwa umma wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amekutana na waandishi wa habari na kuzungumza kuhusu kauli hizo za Rais Magufuli, bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement