Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Scorpion ahukumiwa miaka 7 Jela

on

January 22, 2018 nakusogezea VIDEO kutoka Mahakama ya Wilaya ya Ilala ambapo leo imetolewa hukumu ya Salum Njwete maarufu kama ‘Scorpion’ ambaye amehukumiwa miaka 7 jela na kumuamuru kulipa faini ya Sh.milioni 30 mara moja baada ya kumtia hatiani katika kosa la kumjeruhi Said Mrisho.

DULLY SYKES AAMUA KWENDA MAHAKAMANI KUSHTAKI MTANDAO WA SIMU

Soma na hizi

Tupia Comments