Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

PICHA 2: Msanii wa Afrika aliekutana na Drake Uingereza


Afrika inazo headlines za Drake kwa wingi sasa hivi na ni baada ya kushirikiana na Mnigeria Wizkid kwenye nyimbo zinazotajwa kuwa nne ambapo time hii headlines za Drake zimehamia kwa msanii mwingine wa Afrika.

Aliyekutana nae sasa hivi ni mwimbaji wa Nigeria Burna Boy aliyemuona Drake akifanya show Uingereza mwishoni mwa wiki hii na kukutana nae.

Tusubirie labda tutaletewa kolabo tena kama alivyofanya na Wizkid…

ULIPITWA? Alikiba amefanya show Dodoma weekend iliyopita…. tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement