Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Baada ya Mauaji ya Polisi, Taarifa hii ikufikie kutoka Jeshi la Polisi DSM

on

Ikiwa takribani wiki moja na nusu zimepita tangu askari wanne na ofisa mmoja wa polisi kufariki kwa kushambuliwa na majambazi kwenye matukio mawili ya kukabiliana na majambazi likiwemo lile la Vikindu Mkuranga mkoani Pwani na tukio jingine la ujambazi lililofanyika Mbande Dar es salaam.

Leo September 5 2016 Kamishna wa polisi kanda maalum ya  Dar es salaam, Simon Sirro amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya kukamatwa kwa majambazi watatu ambao wamepatikana na silaha 23, risasi 835,  bullet proof 03, sare za polisi, Pingu 48 radi0 call 12.

SILAHA ZA MAJAMBAZI ZILIZOKAMATWA NA JESHI LA POLISI, ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement