Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Agness wa Kinondoni ahukumiwa miaka 30 jela

on

Leo March 6, 2018 Mahakama ya Wilaya Kinondoni ambapo imemhukumu miaka 30 jela mkazi wa Kinondoni Mkwajuni Agness Mhoja (40), baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akisafirisha Kilo 32.57 za dawa za kulevya aina ya Bangi.

Mbali ya Mhoja mshtakiwa mwingine ni Samwel Jangwa (25), ambae aliachiwa huru kutokana na upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.

BARUA YA HUSSEIN BASHE KWA BUNGE “UMOJA, USALAMA WA TAIFA”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA NA KUSIKILIZA

Soma na hizi

Tupia Comments